Picha ya Marehemu Adolar Barnabas Mapunda.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati
alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TTCL
Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013.
Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa taarifa za familia ya
Mapunda, Mazishi yatafanyika Jumatatu katika makaburi ya Kinondoni.
Imeelezwa pia kwamba mwili wa marehemu utaletwa nyumbani kwake kesho
Jumapili.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa
TTCL Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29,
2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Adolar Mapunda huko
Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia
alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard
Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,
alifariki usiku wa kuamkia jana.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiifariji familia ya marehemu Adolar
Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu
Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa
ya Muhimbili, alifariki usiku wa kuamkia jana.
Waziri
wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe akiweka saini katika kitabu cha
maombolezo wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu
mstaafu wa TTCL Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana
Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa
Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini
ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto wa marehemu Adolar Mapunda huko
Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia
alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard
Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,
alifariki usiku wa kuamkia jana.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment