HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 16, 2013

NHIF YATOA SOMO KWA WANACHAMA WA UVIMA KUHUSU HAKI NA WAJIBU WAO

Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),Rehani Athumani akizungumza katika semina vikundi vya akina mama wa Majohe (UVIMA) vilivyopo chini ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inayosimamiwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete hiyo iliyofanyika Majehe leo.
  Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Eugen Mikongoti akizungumza na washiriki wa semina hiyo iliyofanyika Majohe Pugu jijini Dar es salaam leo
 Philomena  Marijani Meneja Uragibishi kutoka WAMA akizungumza katika semina hiyo.
  Michael Muhando Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu (NHIF) akizungumza katika semina hiyo leo.
 Afisa wa Masoko na Elimu kwa Umma NHIF Grace Michael akitoa maelezo kabla ya kuanza kwa semina hiyo leo.
 Wanachama wa UVIMA.
 Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati wa semina hiyo
 Wachekeshaji Abdallah Salum Kulia ni Shoti na Rashid Omary Hasara wakiburudisha washiriki wa semina hiyo kabla ya kuanza rasmi.
Sehemu ya wanachama wa UVIMA wakiwa katika semina hiyo.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad