HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 17, 2013

BArabara iendayo Makete hali ni tete,maana hakuna gari inayopita kutokana na kuharibika vibara

Baadhi ya Abiria wa Mabasi pamoja na Wafanyakazi wa Malori yaendayo Makete,wakihangaika kuweka sawa barabara kuu iendayi huko katika kijiji cha Ivalalila ambayo imeharibiwa vibaya sana na mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya hiyo,hali hiyo imekuwa ikileta usumbufu mkubwa kwa watumiao barabara hiyo kwani inawachukua muda mrefu sana kufika waendako.
Gari dogo aina ya Toyota Land Cruser ikijaribu kupita kwa kupishana na Lori lililokwama kwenye tope lililopo barabarani hapo.
Hapa hakuna gari inayosogea hata hakua moja,kwani barabara imejaa tope zito.Picha zote na Mdau Edwin Mushi,Safarini Makete.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad