HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2013

Mshindi wa promosheni ya Tigo smartcard awasili nchini Hispania

Mshindi wa promosheni ya Tigo smartcard, Bw. Julius Raphael Kanza akiwa Mjini Madrid,Hispania tayari kwa kusubiri kuangalia mtanange wa El Classico kati ya Real Madrid na Fc Barcelona utakaofanyika kesho Jumamosi Machi 2, kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu.
 Mshindi wa promosheni ya Tigo smartcard, Bw. Julius Raphael Kanza akikata mitaa ya Mji wa Madrid,Hispania

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad