Watoto uwaleavyo ndivyo wakuavyo-watoto wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam wakishiriki kucheza bao la mchangani kama walivyonaswa na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa.
Watoto wa Gongo la Mboto wakicheza mchezo wa mdako.Picha na Mdau Mtaa kwa Mtaa Blog,Dotto Mwaibale.

Umenikumbusha mbaaaaali
ReplyDelete