HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 11, 2013

Airtel yadhamini tuzo za Mwanamakuka 2013

Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde(kulia) akikimkabithi mshindi wa pili wa mwanamakuka bi Leila Mwambungu mfano wa hundi ya shillingi million tatu mara baada ya kuibuka mshindi wa pili wa tuzo za mwanamakuka . wakishuhudia kulia katikati ni mwenyekiti wa Unit of women Friends Esther Wakati, kushoto ni msimamizi wa mwanamakuka award Maryam Shamo akifatiwa na Mke wa Makamu wa Rais,Mama Asha Bilali.
Mwenyekiti wa Unit of women Friends, Esther Wakati (kushoto) akimkabidhi Afisa uhusiano wa Airtel, Jane Matinde cheti cha shukrani kwa Airtel kushiriki na kudhamini tuzo za mwanamakuka kwa mwaka 2013. Akishuhudia ni mtunza fedha wa Unit of women Friends,Mwate Madinda.
Balozi Mstaafu,Mh. Mwanaidi Maajar (katikati) akitoa mkono wa shukrani kwa Afisa Uhusiano wa Airtel,Jane Matinde kuishukuru Airtel Tanzania kwa kudhamini tuzo za Mwanamakuka 2013. Wakishuhudia ni Mke wa Makamu wa Rais,Mama Asha Bilali na wa pili kushoto ni mwenyekiti wa Unit of women Friends,Esther Wakati.
Waandaaji na wadhamini wa tuzo za mwanamakuka 2013 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mke wa makamu wa raisi Asha Bilali wakati wa sherehe za tuzo hizo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad