Mkurugenzi Mkuu wa Coca-Cola Kwanza,Basil Gadzios akizungumza na wageni waalikwa mbali mbali (hawapo pichani) waliofika kwenye hafla ya Uzinduzi wa kinywaji kipya cha Coca-Cola Zero ambacho hakina sukari kabisa,uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Kempiski,Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Coca-Cola Tanzania,Maurice Njowoka akiongea na waandishi wa habari juu ya Uzinduzi wa kinywaji kipya cha Coca-Cola Zero ambacho hakina sukari
kabisa,uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Kempiski,Jijini
Dar es Salaam.
Moja ya vibwagizo wakati wa Uzinduzi huo wa kinywaji kipya cha Coca-Cola Zero ambacho hakina sukari
kabisa,uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Kempiski,Jijini
Dar es Salaam.
Sasa imezinduliwaaaaaa.......
Madansa waliopamba uzinduzi huo wakifanya mambo yao.
Baadhi ya wageni waalikwa waliofika kwenye Uzinduzi huo wa kinywaji kipya cha Coca-Cola Zero ambacho hakina sukari
kabisa,uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Kempiski,Jijini
Dar es Salaam.





No comments:
Post a Comment