MPAKA MTAA KWA MTAA INAINGIA MITAMBONI INAELEZWA KUWA NI WATU 17 TU NDIO WAMEFANIKIWA KUOKOLEWA HUKU WAWILI WAKIWA WAMEPOTEZA MAISHA,NA JUHUDI ZA ZIADA ZINAENDELEA KUFANYWA ILI KUOKOA WENGINE WENGI WALIOFUKIWA NA KIFUSI HICHO.
VIONGOZI MBALI MBALI WAPO ENEO LA TUKIO HIVI SASA WAKUONGOZWA NA MKUU WA MKOA WA JIJI LA DAR ES SALAAM,MH. SAID MECK SADICK WAKISHIRIKIANA NA WADAU WENGINE WA VYOMBO MBALI MBALI VYA ULINZI NA USALAMA,KUHAKIKISHA UOKOAJI UNAFANYIKA KWA WAKATI.
CHANZO CHA KUPOROMOKA KWA JENGO HILO HAKIJAFAHAMIKA MPAKA SASA,KWANI KILA MTU YUPO KWENYE HEKAHEKA ZA UOKOAJI.
PICHA ZA TULIO HILO ZITAWAJIA MUDA MFUPI UJAO.
No comments:
Post a Comment