| Mmoja wa wateja wa kinywaji cha Redds akipokea kinywaji hicho kutoka kwa Mhudumu wa Redds alioko Mlimani City jijini Dar es Salaam ambako zawadi mbalimbali zinatolewa kwa wateja wa kinywaji hicho. |
| Baadhi ya wateja waliojitokezakujipatia kinywaji hicho wakipokea baada ya kununua |
.
| Mteja wa Redds akifurahia kifurushi cha Redds chenye zawadi. |

No comments:
Post a Comment