Heshima kwenu Wadau.
Wakati mwingine wanandoa upitia kwenye wakati mgumu katika mauhusiano yao,mambo yanaweza kuonekana kuwa ya kuchosha kukera na kukwaza, yaweza kuwa kwasababu ya mabishano yatokanayo na wivu,kiburi,fedha,mapenzi na sababu nyingine nyingi kitu ambacho upelekea amani kutoweka ndani ya Ndoa na mapenzi kupotea kabisa.Pamoja na hayo yote kutokea bado wanandoa wanayo nafasi ya kurekebisha mapungufu yao na kurejeasha amani na upendo katika ndoa zao.Hili linaweza kufanyika kwa njia mbali mbali moja wapo ikiwa Retreat.
Couples Consult Tupo kwaajili ya kuwaandalia wanandoa(Couples Retreat) Mazingira muafaka ya kuzungumza tofauti zao na kujenga upya ndoa zao kwa ushauri kutoka kwa wataalamu kwa mambo ya kifamilia,kiafya,kimahusiano,kiujasiriamali na kiuchumi.Kwa maelezo zaidi tembelea tofuti yetu:www.coupleconsult.com tunapatikana pia kwenye facebook:http://www.facebook.com/pages/Couples-Retreat-Consult/281753185281342 na Twitter:https://twitter.com/CouplesC.
Karibu sana


No comments:
Post a Comment