Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es
Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redd's Original kujionea zawadi
mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo na
kununua Redds sita kwa wakati mmoja.
Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji
la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original
kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye
maduka hayo na kununua Redds sita kwa wakati mmoja,Kushoto ni mmoja kati
ya mabalozi wa Redds original akitoa maelezo ya kina juu ya kinywaji
hicho.
Moja kati ya wateja wa Redd's Original akifurahia Zawadi ya Chocolate mbili alizopata baaada ya kujinunulia chupa sita za Redds Original kutoka katika moja ya maduka makubwa jijini Dar es salaam ambapo Redds inaendesha promotion ya kipindi cha sikukuu ya wapendanao ambapo kilele chake ni tarehe 14/02/2013.
No comments:
Post a Comment