HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 1, 2013

MATUNDA YA GESI YAANZA KUPATIKANA KILWA.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Addo Mapunda (aliyekaa kushoto)akitiliana saini na  Bi Anne Devilliers, Mratibu wa Mradi wa mpango wa ufundishwaji wa Lugha ya Kingereza kwa njia ya teknolojia ya kisasa (Techonologe Enhanced Edcation) TEE-TZ chini ya ufadhili wa kampuni ya Pan African Energy, inayojishughulisha na kazi ya uchimbaji, usambazaji na uuzaji wa gesi asilia ya Songosongo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Addo Mapunda (kushoto) akibadilishana mkataba na mratibu wa mpango huo Bi Anne Devilliers. Mpango huo utazinufaisha shule mbalimbali za sekondari wilayani humo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad