HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 22, 2013

RAIS KIBAKI AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KISERIKALI YA SIKU MBILI NCHINI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, wakisiliza taarifa ya pamoja iliyokuwa ikisomwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Vikundi mbalimbali vya ngoma vikitumbuiza wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, wakiwa wamesimama kupokea heshima wakati nyimbo za taifa zikipigwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, akiagana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali aliye pamoja na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda pamoja na viongozi wengine katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad