Meneja
wa bendi ya Skylight, Anneth Kushaba a.k.a AK 47 akiongea na waandishi
wa habari wakati wakitambulisha wimbo wao mpya uitwao 'Nasaka Dhoughs'.
Pembeni ni mwimbaji mwenzake Joniko flower. Utambulisho huo ulifanyika
leo katika kiota cha Thai Village jijini Dar es Salaam.
Meneja wa bendi ya Skylight, Anneth Kushaba a.k.a AK 47 akisisitiza
jambo. Bendi yetu iko katika hatua za mwisho za kumalizia Album yetu
yenye
nyimbo nane na zote kali. Kwa sasa wameshatoa nyimbo mbili: Wivu na
Carolina na leo wametambulisha wimbo wao wa tatu uitwao 'Nasaka
Dhoughs'.
Waimbaji
wa bendi ya Skylight wakiwasha moto mbele ya waandishi wa habari wakati
wakifanya utambulisho wa wimbo wao mpya uitwao 'Nasaka Dhoughs'.
No comments:
Post a Comment