HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 12, 2013

MISS TANZANIA ATOA ZAWADI YA VALENTINE LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

Mrembo anaye shikilia taji la Redds Miss Tanzania Brigit Afred leo amekabidhi zawadi ya Valentine kwa watu mbalimbali jijini Dar es Salaam kwenye msimu huu wa sikukuu ya wapendanao, ambapo kinywaji hicho kinaendelea kutoa zawadi pichani akimkabidhi zawadi mwanamitindo Hadija Mwanamboka.
Mdau mwingine akikabidhiwa zawadmchana waleo.
Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde naye alikuwa miongoni mwa watu waliobahatika kupata zawadi hizo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad