HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 20, 2013

MFUKO WA PENSHENI WAKABIDHI KITANDA CHA KUPASULIA WAGONJWA KATIKA HOSPITAL YA AMANA

Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Ilala,Evans Musiba (watatu kushoto} akimkabidhi Mganga Mkuu wa Hospital ya Amana kitanda cha kupasulia wagonjwa wanaoshuhudia ni Mbunge wa Ilala Mhe.Mussa Zungu Azzan na kushoto ni Afisa Mwandamizi Mr. Mordgard Lumbanga.
Wafanyakazi wa PPF wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe.Mussa Zungu Azzan Mbunge wa Ilala mara baada ya kukabidhi kitanda cha kupasulia wagonjwa kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano Bi.Lulu Mengele, Meneja wa Kanda ya Ilala Bw.Evans Musiba na wa pili kulia ni Afisa Mwandamizi Bw. Mordgard Lumbanga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad