HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 12, 2013

Mdau Allan Rwechungura alivyosherehekea besdei yake ya kuzaliwa

Birthday boy Allan Rwechungura (kulia) akionyesha ishara ya peace akiwa na marafiki zake waliohudhulia hafla ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika hivi karibuni kwenye kiota cha maraha cha Mel Moz,Mikocheni jijini Dar.
Mdau Terence (kulia) akiwa na marafiki zake  Philly na Ombeni wakati wa hafla fupi ya kusherehekea kuzaliwa kwa rafiki yao Allan Rwechungura (hayupo pichani).
Birthday Boy,Allan Rwechungura (kati) akiwa na warembo waliohudhulia kwenye hafla yake hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad