HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 12, 2013

Barabara Kuu ya Morogoro -Iringa ionekanavyo sasa

Barabara ya Morogoro -Iringa imekuwa tegemezi kwa wasafirishaji hasa wanaosafirisha mizigo kwa kutumia magari makubwa kwenda nchi za jirani za Zambia na Malawi ikitokea Bandari ya Dar es Salaam.Kwa sasa ni kiunganishi kikubwa cha nchi hizo. Picha na Mdau Dixon Busagaga .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad