Mkurugenzi
wa Makampuni ya TSN, Bw. Farough Ahmed Baghozah akisema machache katika
halfa ya kukabidhi meza na viti katika shule la msingi Mikocheni.
Kampuni ya TSN ilitoa meza za kisasa zipatazo 10 pamoja na Viti 30
vyenye thamani ya tsh. 6,500,000/=. Hafla hiyo ilihudhuriwa na mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana pamoja na Meya wa Manispaa ya
Kinondoni Yusuph Mwenda.
Mkurugenzi
wa Makampuni ya TSN, Bw. Farough Ahmed Baghozah akimkabidhi Mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana msaada wa madawati aliyoyatoa
mkurugenzi huyo kupitia kampuni yake.
Furaha zilitawala wakati wa makabidhiano hayo.

No comments:
Post a Comment