Mmoja wa Wakurugenzi wa Bendi ya Mapacha Watatu,Jose Mara (kulia) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Albam yao ya pili itakayokwenda kwa jina la Yarabi Nafsi watakayoizindua Rasmi Machi 02, 2013 katika Ukumbi wa Business Park,Victoria jijini Dar es Salaam.
Meneja
wa Bendi ya Mapacha Watatu,Hamis Dakota (katikati) akizungumza na
Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Wakati wa kutangaza Uzinduzi wa
Albam yao ya pili itakayokwenda kwa jina la Yarabi Nafsi watakayoizindua
Rasmi Machi 02, 2013 katika Ukumbi wa Business Park,Victoria jijini Dar
es Salaam.Wengine pichani ni Wakurugenzi wa Bendi hiyo,Jose Mara
(kulia) na Khalid Chokoraa (kushoto).
Wakurugenzi wa Bendi Mapacha Watatu,Jose Mara (kulia) na Khalid Chokoraa (kushoto) wakionyesha kava ya albamu hiyo mpya.
Muimbaji
Mpya wa Bendi ya Mapacha Watatu,Kambi Seti akiimba moja ya nyimbo za
bendi hiyo leo Wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Albam yao ya pili
itakayokwenda kwa jina la Yarabi Nafsi watakayoizindua Rasmi Machi 02,
2013 katika Ukumbi wa Business Park,Victoria jijini Dar es Salaam.





No comments:
Post a Comment