Meneja Uhusiano wa Airtel bw Jackson Mmbando akikabithi Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP. Mohamed Mpinga mipira itakazotumika katika michuano ya mpinga cup itakayoshirikisha waendasha pikipiki maarufu kama Bodaboda yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani . wadhamini wengine wa Mping cup ni pamoja na Rotary Dar es Saalm, Home shopping center pamoja na Mr Price . wakishuhudia katikati ni Meneja uendeshaji Home shopping center Yahaya Zuludi na kulia Mwakilishi wa Mr. Price Sudhirm Maharaj. makabidhiano yamefanyika leo katika ofisi kuu ya trafiki Dar es salaam
Mwakilishi wa Mr Price Sudhirm Maharaj akikabidhi jezi kwa Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP. Mohamed Mpinga zitakazotumika katika katika michuano ya mpinga cup itakayoshirikisha waendasha pikipiki maarufu kama Bodaboda yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani . michuano ya hiyo pia imedhaminiwa na Airtel, Rotary Dar es Saalm, Home shopping center pamoja na Mr Price.
Meneja
Uhusiano wa Airtel bw Jackson Mmbando akiongea wakati wa kutangaza
kuanza kwa mashindano na kukabithi vifaa vitakavyotumika katika
mashindano yatakayo shirikisha waendasha pikipiki maarufu kama bodaboda
yanayoitwa “ mpinga Cup” yenye lengo la kutoa elimu ya usalama
barabarani kwa madereva wa bodabora jinini Dar es Saalam . katikati ni
Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP Mohamed Mpinga, akifatiwa na
mwakilishi wa Meneja Uendeshaji Home Shopping center Yahaya Zuludi na
Mwakilishi wa Rotary club Dar es Saalam Vinay Choudary ambao pia ni
wadhamini wa michuano hiyo. makabidhiano yamefanyika leo katika ofisi
kuu ya trafiki Dar es salaam
Meneja
Uhusiano wa Airtel bw Jackson Mmbando akikabithi Mkuu wa kikosi cha
Usalama barabarani SACP. Mohamed Mpinga jezi zitakazotumika katika
michuano ya mpinga cup itakayoshirikisha waendesha pikipiki maarufu kama
Bodaboda yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani ili kupunguza
idadi ya ajali za barabarani . michuano ya hiyo pia imedhaminiwa na
Rotary Dar es Saalm, Home shopping center pamoja na Mr Price na
itafanyika kwa muda wa wiki nzima, wakishuhudia katikati ni Meneja
uendeshaji Home shopping center Yahaya Zuludi na kulia Mwakilishi wa
Mr. Price Sudhirm Maharaj.makabidhiano yamefanyika leo katika ofisi kuu
ya trafiki Dar es salaam
No comments:
Post a Comment