HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 5, 2013

Wazee wa Feva mmewaona hawa??

 Taswira hii ya jamaa hawa waliokuwa wakiendesha Bajaj,imenaswa mapema leo asubuhi na Mdau Joseph Mwaisango wa Libeneke la Mbeya Yetu Blog katika maeneo ya Soweto,jijini Mbeya.aliwafuatilia watu hawa mpaka walipokuwa wanakwenda na akawauliza kunikoni mmeamua kutumia utaalam wetu wenyewe kuendesha chombo hiki tena bila hata ya kujali usalama wenu?walimwambia kuwa wao ni mafundi na hapo wapo kwenye test baada ya matengenezo.hivi kweli kwa hali ya uzembe wa namna hii,ajali zitaisha nchi hii??
Hapa jamaa kaweka na Pozz kabisa kana kwamba wako sahihi kabisa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad