HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 29, 2013

Washindi wa shindano la Feel the Beet of Sub Zero wapatikana.

Meneja wa kinywaji cha castle lite Pamela kikuli (wapili kushoto) akimpongeza mshindi wa shindano laFeel the Beet of Sub Zero’ nchini Afrika ya kusini , Caroline Lupilli lililoendeshwa kwa kuwashirikisha washiriki wa mtandao wa facebook.
Meneja wa kinywaji cha castle lite Pamela kikuli akimpongeza mshindi wa shindano laFeel the Beet of Sub Zero’ nchini Afrika ya kusini , Eric Masinda lililoendeshwa kwa kuwashirikisha washiriki wa mtandao wa facebook
Meneja wa kinywaji cha castle lite Pamela kikuli akimpongeza mshindi wa shindano laFeel the Beet of Sub Zero’ nchini Afrika ya kusini , Edgar Marumbo lililoendeshwa kwa kuwashirikisha washiriki wa mtandao wa facebook.
Picha ya pamoja na washindi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad