HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 29, 2013

REDDS NA MAANDALIZI YA VALETINE DAY.

Wateja waliofika kwenye maduka ya game na shoppright za mlimani city wakipewa maelezo ya ofa ya kinywaji cha Redds ya zawadi ya choklleti mbili za bure maalum kwa msumu wa sikukuu ya wapendanao, ambapo mteja huzawadiwa zawadi hizo baada ya kununua chupa nne za Redds.

Mteja aliefika katika maduka ya game na shoppright za mlimani city akiwa na zawadi ya choklleti mbili za bure kutokana na ofa iliyowekwa maalum kwa msumu wa sikukuu ya wapendanao, ambapo mteja huzawadiwa zawadi hizo baada ya kununua chupa nne za Redds.

Sehemu ya zawadi za vallentines na Redds original zikiwa katika maandalizi ya shamrashamra ya kuelekea katika kilele cha sikukuu ya wapendanao ambapo kinywaji cha Redds kinaofa ya kununua chupa nne na kupata chokleti mbil.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad