Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo katikati akisaini kitabu cha wageni wa kijiji cha Luhembe mara alipofika katika ofisi za kijiji hicho kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji hicho iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba na kurushwa kwa njia ya M-Pesa,wanaoshuhudia kushoto ni Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na kulia ni Meneja wa mfuko huo Grace Lyon.
Mkuu
wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo wapili toka kulia akimkabidhi fedha
Bi.Asia Kondo ambae ni mjasiriliamali wa kijiji cha Luhembe alipofika
katika hafla ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji
hicho iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei”
unaotoa mikopo isiyokuwa na riba na kurudishwa kwa njia ya
M-Pesa,wanaoshuhudia kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon na
watatu ni Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na Mtendaji wa kata ya
Luhembe Bw.Richard Kigave.
Mkuu
wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo wapili toka kulia akifurahia jambo
mara baada ya kumkabidhi fedha Bi.Asia Kondo anaeonesha pesa zake ambae
ni mjasiriliamali wa kijiji cha Luhembe Mkuu wa Wilaya hiyo alifika
katika hafla ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji
hicho iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei”
unaotoa mikopo isiyokuwa na riba na kurudishwa kwa njia ya
M-Pesa,wanaoshuhudia kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon na
watatu ni Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na Mtendaji wa kata ya
Luhembe Bw.Richard Kigave.
Mkuu
wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo wapili toka kulia akifurahia jambo
mara baada ya kumkabidhi fedha Mkuu wa kinamama wajasiriamali wa kijiji
cha Luhembe Bi.Mariam Lugoha anaeonesha pesa zake ambae ni
mjasiriliamali kijijini hapo, Mkuu wa Wilaya hiyo alifika katika hafla
ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji hicho
iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa
mikopo isiyokuwa na riba na kurudishwa kwa njia ya M-Pesa,wanaoshuhudia
kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon na watatu ni Afisa wa
Vodacom Foundation Ally Mbuyu na Mtendaji wa kata ya Luhembe Bw.Richard
Kigave.
Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon akiongea na baadhi ya kinamama wajasiriamali wa kijiji cha Luhembe Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro,waliofika katika ofisi za kijiji kwa ajili ya kukopeshwa pesa na Vodacom kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wajasiriamali wanawake wadogo na kuzirudisha kwa njia ya M-Pesa zaidi ya wanawake 154 wamenufaika na mkopo huo kijijini hapo.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu,akimuongelesha jambo mtoto Husna Hussen mwenye umri wa miezi(7)aliefika na mama yake mzazi Asha Mohamed kulia katika ofisi za kijiji cha Luhembe Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro,kwa ajili ya kukopeshwa pesa na Vodacom kupitia mradi wake wa Mwei unaotoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wajasiriamali wanawake wadogo na kuzirudisha kwa njia ya M-Pesa,zaidi ya wanawake 154 wamenufaika na mkopo huo.
No comments:
Post a Comment