HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 22, 2013

TANZANIA YATAKA BARAZA KUU LA USALAMA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KULETA AMANI DRC

Wajumbe wa Baraza Kuu la Usalama wakiwa katika majadiliano ya wazi, yaliyohusu ulinzi wa amani, ujenzi wa amani na maendeleo, majadiliano hayo yamefanyika siku ya jumatatu na kufunguliwa na Katibu Mkuu Ban Ki Moon, Tanzania kupitia Mwakilishi wake wa Kudumu, Balozi Tuvako Manongi, imesisitiza Baraza hilo kuendelea kuunga mkono juhudi mbalimbali zinazolenga kurejesha amani ya kudumu katika DRC hususani eneo la Mashariki ya nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad