HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 11, 2013

Rais Kikwete arejea jijini Dar baada ya kumaliza Ziara yake Mkoani Tabora

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mhe Radhia Msuya mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataikfa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea mkoani Tabora alikokuwa katika ziara ya kikazi ya siku tano kukagua shughuli za maendeleo na kuzindua miradi mbalimbali.
Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli (kulia) na Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe wakiongea wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa Tabora,Januari 10, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (yumo garini kushoto) akikagua sehemu ya kutua na kupaa ndege ya uwanja wa Tabora leo Januari 10, 2013 mara baada ya kuzindua rasmi ujenzi wake.PICHA NA IKULU.

==========      =========

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad