HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 17, 2013

Rais Kikwete apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Msumbiji na Indonesia

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Msumbiji na Indonesia ikulu jijini Dar es Salaam.Pichani ni Balozi mpya wa Msumbiji nchini Tanzania Dkt.Vicente Mebunia Veloso na Balozi Mpya wa Indonesia nchini.
Mhe.Zakaria Anshar wakiwasilisha hati zao za utambulisho kwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad