Katika pita pita zangu za kuendeleza libeneke la Mtaa kwa Mtaa,nikifika maeneo ya Bunju jijini Dar na kukutana na Malori haya yakiwa barabarani yakiendelea na shughuli zake huku yakiwa hayana vibao vyenye namba za usajili za Gari,sasa nikaanza kujiuliza kuwa inamaana magari haya hayaruhusiwi kuwa na vibao vya namba za usajili ni namna gani?
Wednesday, January 16, 2013

Home
Unlabelled
Namba za Usajili za magari haya ziko wapi???
Namba za Usajili za magari haya ziko wapi???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment