HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 15, 2013

Kupigwa pini kwa namna hii ni kwakujitakia....!!

 Mgambo wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala akipiga pini tairi la gari aina ya Vits iliyokuwa imeegeshwa katikati ya njia katika mtaa wa Zanaki karibu kabisa na ilipokuwa Avaron Cinema miaka ya nyuma.kiukweli mhusika wa gari hii alijitakia kupigwa pini hili maana hakuitendea haki njia hiyo.
 Baada ya kupiga pini Gari hilo,Mgambo huyo alishika kiuno huku akimuwazia mhusika wa gari hilo kwamba ni kwanini aliamua kupaki gari lake hilo hapo.
 Mgambo akijiandaa kuandika karatasi ya maelekezo ya kwenda kulipia faini ya kosa hilo.Picha na Mdau Cathbert Kajuna.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad