HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 15, 2013

Biashara ya Makopo Chakavu yazidi shika kasi hapa nchini

 Shehena ya Makopo Chakavu ikiwa kwenye pikup huku moja likiwa chini likifanyiwa maarifa mara baada ya kuanguka na kupasuka katika eneo la Tazara jijini Dar.Biashara ya makopo haya imekuwa ikizidi kushika kasi kadri siku zinavyokwenda na yamekuwa si uchafu tena na badala yake yanaitwa dili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad