HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 3, 2013

IZZO BIZNESS kufungua Internet Cafe ya Kisasa jijini Mbeya

INTERNET CAFE INAYOMILIKIWA NA MSANII WA MZIKI WA BONGO FLEVA , MIONDOKO YA HIP HOP NCHINI ,EMMANUEL SIMWIGA AKA IZZO BIZNESS INATARAJIWA KUZINDULIWA KESHO JIJINI MBEYA, INTERNET CAFE HIYO AMBAYO IKO NDANI YA CHUO CHA TEOFILO KISANJI UNIVERSITY (TEKU) , ITAZINDULIWA RASMI  KESHO TAR 4 NA MHESHIMIWA MBUNGE WA MBEYA ,JOSEPH MBILINYI,

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad