HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 13, 2013

Bondia Thomas Mashali AMGARAGAZA Bernad Mackoliech WA KENYA

 Bondia Bernad Mackoliech wa kenya na Mtanzania Thomas Mashali wakioneshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa mchezo wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki.Bondia Mashali alishinda kwa K,O raundi ya sita
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza katika mpambano huo wa ubingwa wa Afrika Mashariki.
Refarii Mark Hatia akimwesabia Bondia Bernad Mackoliech huku akimuamulu Thomas Mashalikwenda katika kona nyeupe baada ya kumtwanga konde zito lililomsababisha kulamba sakafu wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki 
Kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi wa kinondoni Charles Kenyela akimvisha Mkanda wa ubingwa wa Afrika Mashariki bondia Thomas Mashali baada ya kumpiga Bernad Mackoliech wa Kenya kwa K,O Raundi ya 6.
Refarii Mark Hatia akimwesabia Bondia Bernad Mackoliech huku akimuamuru Thomas Mashali kwenda katika kona nyeupe baada ya kumtwanga konde zito lililomsababisha kulamba sakafu wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki. picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad