Kijana ambaye hata jina lake halikuweza fahamika mara moja (aliewekwa mtu kati),anaedaiwa kuiba Nyama ya Kitimoto pamoja na Bia katika moja ya Kipabu kilichopo maeneo ya Namang,Jijini Dar.amechezea kichapo cha kufa mtu mara baada ya kunaswa na mtego uliowekwa na wananchi hao wenye Hasira kali..
Hapa jamaa aliendelea kupokea kisago cha nguvu toka ka mdau aliemnasa.
Jamaa akiwa amekaa chini huku akijitetea kuwa hakufanya yeye tukio hilo,pamoja na kwamba alikuwa tayari kanaswa eneo la tukio.
Jamaa huyo akisaidiwa na kina dada wasamalia,mara baada ya kupokea kisago cha nguvu kwa tuhuma za kuiba nyama.(daahhh.....!! wabongo kweli siku hivi mmekuwa makauzu,yaani posheni ya nyama na bia ndio mmetaka kumtoa roho mtu??).Picha na John Dande.
No comments:
Post a Comment