Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Bw Sam Elanagaloor akielezea huduma ya 'One network' kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) ambapo leo airtel imezidua huduma itakayowaweze wateja wa airtel wanaosafiri kwenda India, Srilanka na Bangladesh kusafiri na laini zao za Airtel Tanzania na watafaidi kupokea simu bila malipo yoyote na kufurahia kupiga simu kwa viwango nafuu zaidi wakiwa katika shughuli zao za kusherehekea kumaliza mwaka, biashara au matibabu (leo) katika ofisi kuu ya Airtel Tanzania
Thursday, December 13, 2012

Home
Unlabelled
Wateja wa Airtel kupokea simu bure wakiwa nchini India
Wateja wa Airtel kupokea simu bure wakiwa nchini India
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment