HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 12, 2012

WANANCHI GEITA WATOA MAONI YA KATIBA MPYA

Wajumbe na Sekretariati ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakiongea na viongozi wa Wilaya ya Geita kabla ya kuanza mikutano ya kukusanya maoni wilyani humo hivi karibuni.
Bw. Mrisho Ahmad Simbatu (70) mchimbaji wa madini, mkazi wa kijiji cha Mgusu, Wilaya ya Geita, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.
Bw. Mhoja Kiuga Mabula (56) mchimbaji wa madini, mkazi wa kijiji cha Mgusu, Wilaya ya Geita, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.
Bi. Sikitu Salum Mohamed (32) mkulima, mkazi wa kijiji cha Mgusu, Wilaya ya Geita, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.
Bw. Mussa Kadoke Lukabile (35) mkulima, mkazi wa kijiji cha Mgusu,Wilaya ya Geita, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.
Bw. Ashura Hamis Somba (53) mkulima, mkazi wa kijiji cha Mgusu, Wilaya ya Geita, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad