Taarifa
kwa watanzania wanaoishi US hususan maeneo ya karibu na Las Vegas, kuanzia
sasa mpaka tarehe 19 December kuna activities mbalimbali za Miss Universe
- baadhi ziko free to the public, baadhi za kulipia! Naomba wenye
nafasi na uwezo waende kumshangilia mrembo wetu kutoka Tanzania Winfrida Dominique - kama mnavyojua support ni muhimu. Kwa wale wenye uwezo December 19 -
fainali ya Miss Universe itafanyika Planet Hollywood Resort and Casino.
Friday, December 7, 2012

Home
Unlabelled
Wadau mliopo Marekani tunaombwa kumsapoti Mrembo wetu Winfrida Dominique
Wadau mliopo Marekani tunaombwa kumsapoti Mrembo wetu Winfrida Dominique
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment