Bw William Ndiye Keiya mwenye umri wa miaka 31 mkazi wa wa Ubungo Kibangu akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya wakati tume ilipotembelea kata ya Kivukoni Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam
Wananchi wa kata ya Mchikichini Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam wakifatilia mkutano wa kukusanya maoni kuhusu katiba mpya.
Bi Amina Hassani mwenye umri wa miaka 11 Mwanafunzi wa darasa la tano mkazi wa Makongo Kaakitoa maoni yake kuhusu katiba mpya wakati tume ilipotembelea kata ya Upanga Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam.
Bw
Ayubu Haruna Kajoro mwenye umri wa miaka 41 mkazi wa Keko Magurumbasi
akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya wakati tume ilipotembelea kata ya
Mchikichini Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam kwa lengo la kukusanya
maoni ya wananchi juu ya katiba mpya .
Wananchi
wa kata ya Kivukoni Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam wakifatilia
mkutano wa kukusanya maoni kuhusu katiba mpya wakati tume ilipotembelea
kata ya Kivukoni kwa lengo la kukusanya maoni ya wananchi.
No comments:
Post a Comment