Mkazi wa Buza nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Eusedia Donald, (katikati) akipokea zawadi ya simu aina ya Nokia 302 kwenye duka la Vodacom lililopo eneo la Mlimani City Dar es Salaam leo, kutoka kwa Meneja Mauzo wa duka hilo Salim Salmin (Kulia) kufuatia promosheni ya shinda na Nokia inayoendelea. (Kushoto) ni mwakilishi wa Nokia Magreth Tendwa.
Meneja
Mauzo wa Duka la Vodacom Mlimani City, Salim Salmin (Kushoto)
akimkabidhi mshindi wa promosheni ya Shinda na Nokia inayoendelea katika
msimu huu wa sikukuu, Selemani Methusela, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam zawadi ya Nokia Asha 306. Makabidhiano hayo yalifanyika
kwenye Duka la Vodacom lililopo Mlimani City Dar es Salaam leo.
Mkazi
wa Kibamba, Dar es Salaam, Alfred Mwandika ,akipokea zawadi yake ya
T-Shirt toka kwa Meneja Mauzo wa Duka la Vodacom Mlimani City, Salim
Salmin (Kushoto) aliyojishindika katika promotion ya Shinda na
Nokiamsimu huu wa sikukuu.




No comments:
Post a Comment