Abiria waliokuwa wanategemea kusafiri na Basi la Saibaba kuelekea mkoani Arusha wakisubiri kupanda katika Kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar.
"Nshasema mie,wale ni abiria wangu.maana niliwawahi toka getini"Hawa ni wakatisha tiketi wa Kituo Kikuu cha mabasi Ubungo Dar es Salaa wakigombania abiria kwa ajili ya kuwakatia tiketi
No comments:
Post a Comment