Afisa uhusiano na matukio wa Airtel kushoto Dangio Kaniki akimkabidhi jezi ya Manchester United mshindi wa Facebook ya Airtel bi. Seba Aggrey alipotembelea makao makuu ya Airtel jijini Dar Es Salaam baada ya kuibuka mshindi .
Afisa uhusiano na matukio wa Airtel kushoto Dangio Kaniki pamoja na mshindi wa shindano la Facebook ya Airtel bi. Seba Aggrey wakiangalia kwa pamoja jezi ya Manchester United iliyosainiwa na wanachama ya timu hiyo baada ya kushinda katika shindano la Facebook ya Airtel.
Mshindi wa jezi ya Manchester united kupitia shindano la Facebook ya Airtel bi.Seba Aggrey akionyesha jezi yake iliyosainiwa na wanachama wa timu hiyo aliyokabidhiwa katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar Es Salaam baada ya kutangazwa mshindi.
No comments:
Post a Comment