Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe la Ujirani Mwema nahodha wa Serena Serengeti Lodge Jamali Kitonga baada ya kuwafunga hoteli ya Four Seasons safari Lodge (zamani Bilila Lodge) jumla ya mabao 5-4 katika mchezo wa kusherehekea Krismasi katika uwanja wa Kifaru wa Four Seasons safari Lodge
Nahodha wa Serena Serengeti Lodge Jamali Kitonga akifurahia ubingwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na timu ya Serena Serengeti Lodge
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na timu ya Four Seasons Safari Lodge
Ngoma ya kidedea ya Four Seasons Safari Lodge
Mashabuiki wa Four Seasons Safari Lodge wakiwatambia Serena baada ya kupata bao la kuongoza
Goooooooaaaal...!! Timu ya Four Seasons Safari Lodge wakipata bao lao la kuongoza
Mashabiki wa Four Seasons Safari Lodge wakishangilia bao hilo
Tuta la Serena latinga wavuni
Rais Kikwete akikagua timu ya Serena
Kipute uwanjani
Watafiti wa wanyama walikuwa baadhi ya mashabiki
Mashabiki wa Four Seasons
Mashabiki wa timu zote mbili wakishangilia kwa pamoja
Ngoma katikati ya uwanja
Mtanange ukiendelea
Mgeni rasmi na viongozi wa TANAPA na wa hoteli ya Four Seasons wakishuhudia mtanange
Mashabiki wa Four Seasons wakishangilia
Rais Kikwete akimsalimia refa wa mechi hii
Mashabiki wakiangalia gemu
Hatari hatari katika lango la Serena
Yerooo! Tunataka magoli, sio chenga...! Mshabiki wa Four Seasons
Hekaheka langoni pa Serena
Mfungaji wa goli la kusawazisha wa Serena Judica Samwel akipongezwa na mashabiki na wachezaji
Ngoma ya Kidedea ya Four Seasons yazimika baada ya kupigwa bao la kusawazisha na Serena
Mashabiki wa Four Seasons.
Wadau wakiangalia gemu
Hureeeeeee......Wachezaji wa Serena wakishangilia mkwaju wa mwisho wa penati uliowapa ushindi
Afisa habari wa TANAPA Pascal Shelutete akisimamia hatua ya kukabidhiwa kombe kwa washindi
Paparazi wa Four Seasons akiwa kazini.....
Paparazi toka Ufaransa akirekodi mtanange huo
Mfungaji wa bao la Four Seasons akisalimiana na Rais Kikwete
Four Seasons wakipata bao la penati
No comments:
Post a Comment