HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 17, 2012

Party ya funga mwaka ya Bia ya Ndovu Special Malt yafana sana

Bia ya Ndovu Special Malt inayotengenezwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),mwishoni mwa wiki iliyopita ilifanya party babkubwa ya kuuaga mwaka wa 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 ikiwa ni maalum kwa wadau wake,iliyofanyika kwenye Bwalo la Polisi (police officers mess),Masaki jijini Dar es Salaam.ambapo wadau mbalimbali waliweza kuhudhulia hafla hiyo,kama inavyooneka katika picha kedekede hapo chini.

4 comments:

  1. nice pictures, but most of them seems to be of SELF SHOW rather than NDOVU SHOW

    ReplyDelete
  2. A heap of kudos to all of them

    ReplyDelete
  3. Its a nicer way to know who can sell the product on BillBoards - Review the images again to find the best image for road show on BillBoards

    ReplyDelete

Post Bottom Ad