Bondia Said Mundi wa Tanga (kushoto) akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba,jijini Dar es salaam.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipimwa Afya na Dkt, Kalaga wakati wa maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mpambano wake na Saidi Mundi wa Tanga (wa pili kulia).wengine kutoka kulia ni Promota wa mpambano huo Mohamed Bawazir na wa pili Kushoto ni Mratibu wa Mpambano huo Paul kunambi.
|
Promota ya mpambano wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwa na baadhi ya mabondia.
|
Bondia Francis Miyeyusho akipima uzito kwa ajili ya kumkabiri Bondia Nassibu Ramadhani (kushoto) katika mpambano wao wa ubingwa wa WBF utakaofanyika kesho 9 desemba katika ukumbi wa PTA Sabasaba
|
Bondia Nassibu Ramadhani (kushoto) akitunishina Msuri na bondia Francis Miyeyusho wakati wa uipimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho 9 Desemba,katika Ukumbi wa PTA,Sabasaba jijini Dar.
|
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya kumkabili mpinzani wake Said Mundi kushoto mpambano utakaofanyika Desemba 9.
|
No comments:
Post a Comment