Lori la Mizigo aina ya Scania lenye nambari za usajili T 593 ABE mali ya Kampuni ya kutengeneza Unga wa Ngano ya Azania,likiwa limeangukia ubavu mchana huu katika eneo la Mbezi Mwisho,jijini Dar es Salaam.Chanzo cha kuanguka kwa Lori hilo hakijaweza fahamika mpaka sasa,na hakula alieumia wala kupoteza Maisha.
Mmoja wa wakazi wa eneo hilo la Mbezi,akitoa taarifa kwa jamaa zake baada ya kushuhudia kuanguka kwa lori hilo.
No comments:
Post a Comment