HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 16, 2012

mashindano ya wazi ya gofu Tanzania yafanyika jijini Arusha

Meneja wa benki ya Stanbic tawi la Arusha Rehema Mgamba (kulia) akikabidhi zawadi ya mshindi wa pili kwa mchezo wa gofu upande wa wanawake,Bi. Angela (kushoto) baada ya kufanya vyema katika mashindano yaliyofanyika hivi karibuni mjini Arusha.
Bingwa wa jumla wa mashindano ya wazi ya gofu ya Tanzania, Nuru Mollel akishukuru huku akionyesha kombe lake la Mashindano yaliyodhaminiwa na benki ya Stanbic yaliyofanyika Arusha Gymkhana Club.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad