HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 18, 2012

MWIZI WA VIFAA KIBAO VYA MAGARI YA WATU JIJINI DAR

Ile kauli ya Waswahili kuwa Za Mwizi ni Arobaini,ndio ilifikia kwa ndugu huyu aitwae Khasim Ramadhan ambaye ni kiboko kwa uwizi wa vifaa vya magari ya Watu hapa jijini Dar es Salaam,zikiwemo Side mirror,power window,taa za magari na vitu vingine kibao.Mtuhumiwa huyu alidakwa hivi karibuni maeneo ya Mbezi Beach katika hotel ya Farway,baada ya kumuibia Mdau mmoja wa mkazi wa Dar ambaye aliweza kumkata kwa kutumia mtandano wa kiteknolojia ya compyuta na kutiwa nguvuni na wanausalama.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad