HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 26, 2012

FM ACADEMIA YAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE WAKATI WA PROMOSHENI YA BIA YA WINDHOEK

 Wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakitumbuiza wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek uliofanyika katika ukumbi wa Alcade wakati wa sherehe ya Sikukuu ya Krismasi  jijini Dar es Salaam. Bendi hiyo inadhaminiwa na kampuni ya Mabibo Wine kupitia kinywaji chake cha Windhoek. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Kiongozi wa bendi ya FM Academia, Nyoshi El Sadati (kushoto) akiwaongoza wanamuziki wa bendi hiyo wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek iliyofanyika katika ukumbi wa Alcade
 Wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakitumbuiza wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek uliofanyika katika ukumbi wa Alcade wakati wa sherehe ya Sikukuu ya Krismasi  jijini Dar es Salaam. Bendi hiyo inadhaminiwa na kampuni ya Mabibo Wine kupitia kinywaji chake cha Windhoek.
 Kiongozi wa bendi ya FM Academia, Nyoshi El Sadati (kushoto) akiwaongoza wanamuziki wa bendi hiyo wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek iliyofanyika katika ukumbi wa Alcade
 Wacheza shoo wa FM Academia wakifanya vitu vyao jukwaani
Baadhi ya mashabiki wa FM Academia wazee wa Ngwasuma wakiselebuka

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad