HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 10, 2012

Dkt. Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi,Kiuchumu na Ushirika,katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.

Watendaji wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi,Kiuchumu na Ushirika, wa Idara mbali mbali wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad