HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 11, 2012

Benki ya CRDB yafungua tawi nchini Burundi

Jengo la Benki ya CRDB Burundi.
Rais wa Burundi Piere Nkurunziza akiwasili katika sherehe za ufunguzi rasmi wa Benki ya CRDB jijini Bujumbura, Burundi. Benki ya CRDB imekuwa Benki ya kwanza ya kizalendo kufungua tawi lake nchini Burundi.
Rais wa Burundi,Mheshimiwa Piere Nkurunziza akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Benki ya CRDB nchini Burundi.Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei.
Raisi wa Burundi Mheshimiwa Piere Nkurunziza akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB Tully Esther Mwambapa alipokuwa akiwasili katika sherehe hizo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Burundi Dkt. James Nzagi (Kushoto) na Katibu wa Benki hiyo Bwana John Rugambo(2 kushoto) na Meneja Mkuu wa Benki ya CRDB Nchini Burundi Bw. Bruce Mwile.
Raisi wa Burundi Mheshimiwa Piere Nkurunziza akiwa katika ya pamoja na uongozi wa juu wa Benki ya CRDB.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB nchini Burundi wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzano kutoka Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad